Sunday, 19 April 2015

THE KABANGA CHURCHES UNION VISIT OF PRAYER IN KABANGA CENTER TODAY.

Kwa niaba ya watoto wenzangu na ndugu wengine tunasema KARIBUNI  tena
(On behalf of my fellow children and others we are all together say that you are welcome again)



HAPO JUU NI WAUMINI WA KIKRISTO KUTOKA UMOJA WA MADHEHEBU KABANGA WAKICHEZA NA KUFURAHI NA WENGINE WAKISIKILIZA KWA MAKINI MANENO MATAMU YALIYOKUWA YAKIIMBWA NA WANA KWAYA WANAOONEKANA HAPO JUU PICHANI WAKIIMBA KWA HISIA KABISA.



The Kabanga teachers college principal Mr.Jeremiah at the last chair and others listening careful to the choir singers 


The Rev.chairperson and secretary of the Kabanga church union  

The People living in Kabanga center following prayers from the Rev.Chairperson of the Kabanga church Union Today.




The two pictures above are also the choir singers dancing with nice song.

They came with a lot of gifts including clothes,soaps,fruits and food but we are happy that they promised to pay for Mr.Lutha Onesmo's school fees which were asked by Mr.Issa Kambi The head of the kabanga center/unit.

During prayers Rev.Chairperson spoke nicely about the killing/mutilating  of people with albinism and asked the society to stop it because it is not true that you can get money/wealth from albino's body parts.

Unforgettable words today from Rev. was "PEACE AND LOVE IS EVERYTHING IN OUR LIFE"
(By.Mr Kambi.The bloger)

KARIBUNI TENA.

Tuesday, 7 April 2015

JANA MSAMALIA MWEMA MWINGINE "ATUWENE" KUTOKA CHUO CHA UALIMU KABANGA ALITEMBELEA KITUO NA KUTOA ZAWADI MBALIMBALI


Msamalia mwema huyo akigawa nguo mwenyewe kwa alemavu wa Ngozi(ALBINO) na wengine kama inavyoonekana katika picha hii na hiyo hapo chini.
AHSANTE SANA NA MUNGU AKUBARIKI

Sunday, 5 April 2015

KANISA KATORIKI KASULU CHINI YA FATHER-DEUS(PAROKO) WALIPOTEMBELEA KITUO CHA WALEMAVU KABANGA.



Paroko,mwenyekiti wa kigango cha Murubona na Kumsenga pamoja na waumini wengine wa Kanisa Katoriki Kasulu mjini,ahsantemi sana kwa kutembelea shule/kituo chetu cha Kabanga na kutoa msaada wenu wa hali na mali na kubwa zaidi mchango wa Tsh.1,700,000/=(Cash.Tsh.1,590,000/= pamoja na ahadi ambazo hutimiza jumla ya kiasi tajwa hapo juu) kwa ajili ya mwanafunzi wetu Gilbert.
Mbarikiwe sana ndugu zetu.
"MOYO USIO NA SHUKRANI HUKAUSHA MEMA YOTE"
 Baadhi ya wanafunzi na wakazi wengine waishio katika kituo cha walemavu Kabanga wakifurahia zawadi walizoletewa na waumini wa Kanisa Katoriki-Kasulu.(4.4.2015)
 Umati wa waumini wa Kanisa Katoriki Jimbo la Kasulu mjini walioambatana na Paroko lakini pia viongozi mbalimbali wa kanisa hilo kuja kuwajulia hali na kuwafariji walemavu wa ngozi(ALBINO) na kuwaletea zawadi kemkem siku moja kabla ya Pasaka (kwa kweli wamevunja rekodi haijawahi kutokea) kutembelewa na umati mkubwa kama huu. TUMEFARIJIKA SANA
Wanaoonekana hapo mbele ni baadhi ya wanakwaya waliotumbuiza na kupamba matembezi haya.Sintosahau wimbo mzuri wa Kiha ulioinua watu ukumbini na kucheza kwa furaha chini ya kwaya masta "Kihekidye"



KARIBUNI TENA KABANGA