Monday, 4 May 2015

Mwanamuziki Linex Katika kituo cha walemavu Kabanga-Kasulu leo tarehe 05.05.2015


Linex akiongea na walemavu mbalimbali katika kituo cha walemavu Kabanga,mwenye suti nyeusi aliyesimama nyuma ya Linex ni Mkurugenzi wa Hospitali ya Kabanga Father S. Nzabhayanga akisikliza kwa makini.


Linex akiongea na walemavu wa viungo bwana Cosmas aliyekaa kwenye baiskeli na Novias aliyesimama

Linex akiwa na walimu Paul na Jane katika picha ya pamoja



Tunashukuru sana kwa ujio wa msanii huyu wa Kigoma kutembelea Kituo chetu chini ya Hospitali ya rufaa Kabanga na kujua walemavu wanaishije na kuchukua changamoto mbalimbali za kituo ikiwa ni mara ya kwanza kwa kituo chetu kutembelewa na msanii mkubwa kama huyu.Tunamuombea na kumtakia utekelezaji mwema wa mambo yote aliyoahidi kifanyia kazi lakini kubwa zaidi Kujitoa kuwa balozi wa kituo hiki.

KARIBU TENA KABANGA LINEX
Na;Issa Kambi
Mkuu wa Kitengo cha walemavu Kabanga.

No comments:

Post a Comment